Nimepata ajira ya mshahara wa milioni 1.2, natafuta mke tuanze maisha

Hiyo hela nyingi sana mkuu. Mm take home yangu ni laki8 nimeshajenga nyumba mil45, natembelea gari na sina biashara na kazi yangu mwalimu sio wa shile ni chuo
 
kuna factor nyingi hujaziangalia zaidi ya kusema mafanikio yako...

una source gani extra ya kipato, urithi etc?

kuna miaka mingapi kazin

majukumu yako pia kwenu

wewe wa kike au wa kiume

posho na marupu rupu mengine kazini kwako

maana kwa maisha ya uhalisia laki 8 ya sasa hivi kwa kijana ianzie kulipa kodi ya nyumba, nauli kazini, chakula na ujenge nyumba ya milion 45 sio kazi ndogo


Hiyo hela nyingi sana mkuu. Mm take home yangu ni laki8 nimeshajenga nyumba mil45, natembelea gari na sina biashara na kazi yangu mwalimu sio wa shile ni chuo
 
kasema take home...ila huyu ni mnafki
 
Hehehe

Hata hii pia ni mbinu ya kupata vichenshede [emoji23][emoji23]

Mke utafutie mtandaoni what a nonsense! !
 
Kwa upande wangu fanya vile unavyoona wewe wacha kusikiliza watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…