#COVID19 Nimepata chanjo ya Covid-19 aina ya Johnson & Johnson, je wewe?

Ukiwa na akili timamu huwezi kuwasikiliza CCM hata kidogo, watakupotosha pakubwa sana, kweli CCM ndio wa kugombea chanjo kimya kimya Leo? Duh
 

 
πŸ‘πŸ‘ŠπŸ‘Š
 
Bora kufa kwa corona ukiwa huna chanjo sio kufa kwa corona huku una chanjo, huo ndio utaahira mkubwa.
Na hawa ndio watapoteza kinga kwa kasi sana,sababu ya mshtuko baada ya kugundua wana maambukizi na chanjo walipewa.
 
Ni kweli hawawezi kuangamiza Afirca maana wanaihitaji. Kama walivyohitaji Marekani ya kaskazni, austraria n.k.
Unaweza kuniambia wenyeji wa America ya kaskazini na Australia wako wapi?
Red India's ni wakulima wa mahindi ya kulishia nguruwe.
 
Chanjo mwili wangu utaiskia tu bora nife bila chanjo kuliko kufa na chanjo izo.
 
Mama yangu kashindwa kuchanja kwa kuwa hayuko kundi lolote linalostahili. Mazingira anayofanya kazi kuna watu watatu wamepimwa na kukutwa nayo, 2 weeks ago nilikuwa na mmojawapo ya waliokutwa ni +ve naambiwa nisimsogelee nitamwabukiza. Anaogopa corona hatari na anazingatia taratibu ila kaambukizwa na mme wake ambaye kwa sasa amepona.

Niligundua ni wengi sana wanaopata na hawajui mpaka inaisha yenyewe. Hawa waliochanja mapema watafanya mashabiki wa Gwajima wabadili gear angani wakachanje. Chanjo zenyewe hazitoshi
 
Mimi naona hii ni alama ya MPINGA KRISTO 666.

Wacha waislam wapige, sisi hatumpingi Yesu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…