T tizo1 JF-Expert Member Joined Mar 9, 2011 Posts 856 Reaction score 145 Aug 4, 2013 #1 Kabla sijapata kibanda eneo hilo nilikuwa nataka nifungue m-pesa.....lakini hpo hapo jirani yangu amefungua mpesa yake.kibanda kipo mkoani tabora,maeneo ya isevya.........msaada wa jamani je nianzishe biashara gani kwa mtaji wa 1.5 m???
Kabla sijapata kibanda eneo hilo nilikuwa nataka nifungue m-pesa.....lakini hpo hapo jirani yangu amefungua mpesa yake.kibanda kipo mkoani tabora,maeneo ya isevya.........msaada wa jamani je nianzishe biashara gani kwa mtaji wa 1.5 m???
U ureni JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 1,261 Reaction score 530 Aug 4, 2013 #2 Kama amefungua m-pesa wewe fungua tigo-pesa