malagira roman
Member
- Sep 22, 2014
- 58
- 3
Hivi mtumishi anaponyimwa ruhusa na mwajiri wake kuwa asiruhusiwe kwenda kusoma eti hajakiz vigezo hasa kuwa kazin miaka miwili na huku chuo kapata na loan tena asilimia 90 ni halali. Na pia mtumishi huyo hahitaji kugharamiwa chochote na mwajiri wake lakini bado ananyimwa ruhusa. Je afanyeje ili aruhusiwe kwani anataka kusoma. Ushauri wenu jamani ni mhimu sana
Watu mnapenda complicate mambo unge mwomba ruhusa mapema saiv ungejua moja.we unaaply mkopo na unapewa 90% huku bos anakubania thn huku wengine wanalia hawajapata mkopo.binadamu bwana
Pole mjomba,mimi nimetimiza miaka 2 na zaidi lakini nimenyimwa ruhusu coz sikuwa kwenye mpango wa halmashauri tena nitaje ni makete,viongozi wanaukilitimba ile mbaya hawataki tupige shule tutawapita kielimu.kwenye mpango waliingizwa 7 wa idara yetu pasipo makubariano mwisho wa siku wameenda wanne,wengine hawakuomba kuingizwa,kwa upande wangu niliomba lakini hola.du ajiriwa makete uje ona viigizo vya wakuu wa idara na mkurugenz sumbua na ndio maana watumishi wakipata nafasi ya kuja huku hawaji kabisa wanaona bora waache kazi.duuu.mimi nimeinua mikono nafasi nimepata lakini nimegaili so nitajua mbele kwa mbele,ningepata mkopo ningeomba ruhusa isiyo na malipo.ning'esepa kaa lowasa.
Apo amua moja kwenda kusoma au kubak kazini
Hivi mtumishi anaponyimwa ruhusa na mwajiri wake kuwa asiruhusiwe kwenda kusoma eti hajakizi vigezo hasa kuwa kazini miaka miwili na huku chuo kapata na loan tena asilimia 90 ni halali ?
Na pia mtumishi huyo hahitaji kugharamiwa chochote na mwajiri wake lakini bado ananyimwa ruhusa.
Je afanyeje ili aruhusiwe kwani anataka kusoma.
Ushauri wenu jamani ni mhimu sana