yutu
JF-Expert Member
- Nov 24, 2013
- 1,668
- 1,017
Habari zenu wakubwa na wadogo, siku ya trh 22,2 ilikuwa ni siku ya furaha kwangu baada ya kupata matokeo yangu ya kidato cha nne na kufaulu vizuri. Nilipowajulisha walezi wangu kuhusu hayo matokeo waliniwekea kikao na kuniamuru niende haraka huko Makete (Lupila).
Baada ya kufanya mtihani mwaka jana nikaona nitafute temp work ndipo nilipofanikiwa kukutana na hawa wazungu nilipowaeleza shida yangu wakaniambia wao hawana nafasi ya kazi labda kama nitaweza kuwasaidia kufanya shughuri ndogo ndogo za nyumbani kama kuchota maji kupiga deki na kuwapikia chakula kutokana ugumu wa maisha hapo kijijini bila kinyongo ilinilazimu kufanya hivyo kwa ujira wa laki moja kwa mwezi na nilifanyanao kwa mwezi mmoja wakawa wanahamia Dar kwani project yao ilikuwa imeisha na kuja hapa Dar kusubilia majukum mengine ya kupangiwa na shilika lao,
Kwa jinsi nilivyofanya nao kazi walitokea kunipenda sana na wakaniomba niendelee kukaa nao na hapa sikuwa na yoyote zaidi kula na kulala labda nijitolee mimi mwenyewe kuwasaidia wabongo wenzangu niliowakuta kwani sikubweteka hata kama nilikuwa napata posho kila wiki na kwasababu. Hapa Dar sio mwenyeji kwahiyo siwezi fanya biashara yoyote na isitoshe hapa nyumbani ni geti kali (Masaki) unatoka kwa maandishi unarudi na kusaini.
Nikaona hicho kidogo nikipatacho ni bora nitume nyumbani wanilimie mashamba kinachosalia kiwasaidie hapo nyumba lakini cha kushangaza toka nianze kuwasaidia hivyo vijisenti na wanandugu kunikalia kikao wamesema uwezo wa kuendelea kunisomesha haupo na sasa wanataka kula matunda yangu na nisiendelee kusoma kwani nikifika chuo kikuu ajira hamna. Na mara kaka yao amewachia mzigo mkubwa wa kunitunza mimi na wadogo zangu ilihali watoto wao wameishia kuuza ulanzi.
My take ni kwamba wafadhili wangu wako tayari kunisaidia na kuna uwezekano wa kumalizia project yao Ghana ya miezi 6 warudi finla