Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,413
- 4,020
Kwani ni nani huyu? Na ana maslahi gani kwa taifa hadi iwe mhimu kujua habari za kifo chake? Kama ni rafiki yako, sema tu kwamba umefiwa ili tukupe pole
aiseee huyu anaweza kuwamaalufu kuliko mchezaji mwingine yeyote wa nchi hiii kwa kizazi hiki kilichopo!hakika simjui mtu huyu.
R.I.P Ninja we will always remember you...,nakumbuka wakati huo "Salum kabunda ninja anapiga kulia kuleee kumtafuta Sanif Lazaro Tingisha,Mohamed Hussein Chinga one,Edibily jonas Lunyamila,Said mwamba kizota nk
Kwani ni nani huyu? Na ana maslahi gani kwa taifa hadi iwe mhimu kujua habari za kifo chake? Kama ni rafiki yako, sema tu kwamba umefiwa ili tukupe pole
Umemsahau mzee wa koma kumwanya, Godwin Aswile. RIP Salum Kabunda Ninja. Your pace, power and determination will remain in our memories foreverNakumbuka wakati yupo yanga ya Abasi Gulamali mwaka 91/92, kocha alikuwa Mziray akisaidiwa Charles Boniface Mkwasa, Huyo beki alikua noma, bora mpira uende mchezaji abaki, alicheza na kina Steven Nemesi,Sanifu Lazaro, Sahau Kambi,Keneth Mkapa,Said Zimbwe,Issa Athumani,Abubakari Salum,Justin Mtekele,Said Swedi,Ramadhani Kilambo,Athuman china,Peter Tino,John Mngazija,Thomasi Kipese,Willy Mtendawema,. PUMZIKA KWA AMANI Ninja.