Nimepata hitaji la moyo

Angalia shule yako mwanangu usije juta,mapenzi yapo tu na yataendelea kuwepo.
 
JF ni kama stendi, kanisani ama kazini. Mnakutana watu wa aina tofauti, wenye tabia tofauti na mitazamo tofauti. Muhimu ni kutokuwa na papara
 
Usikute huko Moshi umeenda baada ya mkopo kuingia. Kama sivyo basi komaa tafuta pesa mkuu. Hizo safari watakua wanafanya wao. Si unaona jeuri za Diamond sa hivi.?

Wanaume tubadilike.
 
Ila mkuu huyo Dada hawez kusema umri wake halisi.
Ila Kwasababu na wewe ndio umri wa kuonja onja endelea tu mkuu.
 
Sikiliza kijana .Asikutishe MTU.Jf ni sawa na mtaani.Wangapi tumefahamiana humu na nje tukaja onana na kusaidiana kwa mengi.Wengi hawasemi wameoana toka JF.Kikubwa ni uvumilivu.Huyo anayekukatisha tamaa muulize hapa anatafuta nini na why Jf wakaanzisha love connect INA maana hawana akili.
Kijana Chapa kazi!!
 
Dole gumba mkuu
 
Ila mkuu huyo Dada hawez kusema umri wake halisi.
Ila Kwasababu na wewe ndio umri wa kuonja onja endelea tu mkuu.
Sipo kuonja onja najua utu mkuu mana unapo onja onja kila sehem hata wew unachunguliwa na kila unae mpitia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…