poul
Member
- Apr 21, 2013
- 56
- 17
inahusu elimu ya kompyuta...nimefikiria kwamba kila mtu kwa sasa anahitaji kujua matumizi ya kompyuta kulingana na uitaji wa dunia ya leo, but kwa sababu fulani fulani sio wote ambao wanaweza kwenda vyuoni kusoma. hii inatokana na labda kuwa bize na kazi au wengine umri umekwenda wanaona nouma kwenda vyuoni na wengine ni watoto bado. sasa hapo ndo huduma yangu inapoingia... 1. kuwafundishia majumbani 2. kuwafundishia sehemu zao za kazi...ushauri na mawazo na nyongeza yenu wadau.