namuonea huruma ila raha jipe mwenyewe mwanaume niliyemzidi atakuwa hana jotosafi sana @arusha mamaa marytina..
hajui kama nimemweka kwenye probesheni, hii nimeweka kimyakimyaFanya kile roho inapenda. Nimependa kitu moja, hukutaka kumdharau kama wenzio, umeamua kumuacha kibusara.
Nahisi na yeye atakuwa na busara zaidi ya kukataa hiyo probation ya miezi sita
...unafki sitaki tuwe wakweli...HIVI KUNA MAPENZI NDANI YA UMASKINI??
@arusha, baba mngoni, mama mchagga
...unafki sitaki tuwe wakweli...HIVI KUNA MAPENZI NDANI YA UMASKINI??
nimepata kazi mpya mshahara ingalao unakidhi kimtindo, cheo kimebadilika nahisi ni wakati muafaka wa kuwa na mwanaume anayenizidi.
Msinishangae I always wanna to be inferior kwa mpenzi wangu so nimempa probesheni ya six months otherwise nataka nikumbatiwe na mwanaume anayenizidi.
Kimoyo moyo naamini hata yeye angeniwahi kufanikiwa ningeweza sugua benchi.
Note:Mimi najihisi raha kulala na mwanaume anayenizidi kielimu, kipesa,kicheo,urefu,uzito,yaan kila kitu
hilo ni moja kati ya mambo yanayonifanya nimwache mshikaji manake amenizuia nisipige mipesa wakati hali yetu checheme chechemeavipi ule mpango wa kukwapua vitrilion hapo job kwako umefikia wapi?
Romance without finance is a nuisance!
mtamzawadia mtoto kisirisiri (the second born manake first born new mchumba anaweza kushtukia)usiache mbachao kwa msala upitao........................
...abe.........unasemaje shostiMarytina Marytina.....
siioni ndugu!!!!!!!!!!!shikamoo....................
wewe ndiye hujakuwa na huuoni umuhimu wa pesa kwa kuwaandalia watoto watarajiwa maisha boraUkikua utafikiria zaidi ya hapo.