Nimepata kazi mpya /mshahara umedabo nabadilisha mchumba

hata ingekuwa mie mbulu matusi ya nini??kuna tabia sticky kwa kabila????????
mkabila mkubwa weye
 

mkuu huyu ni mgeni hapa mjini .
 
Note:Mimi najihisi raha kulala na mwanaume anayenizidi kielimu, kipesa,kicheo,urefu,uzito,yaan kila kitu

Ni hiari yako kufanya yale yakupayo raha na furaha maishani, ila ni hatari kujenga uhusiano wa kimapenzi katika misingi ya vitu vinavyoweza badilika muda wowote..!
 
dah, pesa ni kama maua, na cheo leo waweza kuwa nacho kesho ukawa hauna. mambo yanaweza badilika ( jiwe walilolikataa waashi leo limekuwa jiwe kuu la pembeni).
 


saaaaaafi.., saaaaafi saaaanaaa..., Kama kinadada wangekuwa wanafikiria hv kila siku..., nadhani mapenz yasingekuwa kigeugeu...!
 

hao ndio mm nawaita ma trget worker....., Hii ni tabia ya kupenda ukuni..., haya kila la kheri ila cku moja ukikua utajua..

NB. malipo ni duniani, akhera kuhesabiwa...., then what goes around, comes around
 
Dada ayo ni mawazo mabaya ayafai ata kidogo kwani kupata leo wewe isiwe shida kwa mwenzio uwezi kujua mpango wa mungu kukufanikisha ukiwa na uyo bwana saiingine ni sara zake pia zimewezesha ufanikiwe, Think twise before doing that.
 

Heeee! masikini muimba kwaya hana chake tena hapo! Lakini mbona ulisema unataka mtu asiyekuwa matawi ya juu ili usiwe na puresha za kijinga hasa za kuibiwa coz of u Hb au pesa. Ushageuka kinyonga mara hii!

Aisee kuna tela la CAMECO limeanguka na ile maneno imejaa tunajizolea tu. Karibu kusafisha meno mamaa!
 
aisee,basi utatumika sana,haya maisha mambo mengi huwa yanabadilika!
 
Dah..hiki kizazi,naona woote wanaoshauri kama wanacheza tu...kuna msemo wa kiswahili: Samaki mkunje angali mbichi...huyu ameshakauka mnahangaika bure...

Niwakumbushe tu alishawahi kuja hapa ili tumsaidie mawazo.Kwamba kuna mdogo wa rafiki yake anahitaji pesa ya ada wakati huo huo kuna mjeshi anamtaka kimapenzi...kwa hiyo anahitaji rubber stamp yetu ili huyo mwanafunzi atembee na kanali apate mshiko wa kulipia ada...unajua mwisho wa ile story alisemaje? " anachotaka huyo binti ni pesa sio ushauri"
 
Aisee hiy 'kitu' si itakuwa used sana, maana kama ulianza hivyo tangu primary, nadhani hapo hata 'ngorongoro crater' itakuwa imeachwa mbali sana.
 
Duh, wadada wengine wamepinda. i cant imagine hata mtarajiwa wangu naye anamawazo kama haya!!! Naomba Mungu anifunulie mapema kabla sijaingia chaka!!
 

kumbe ndo zake hizi eeeh , sio bure nilisema ana njaa sana .au ametoka ktk familia ambazo haijazoe pesa . Duh
 

Angali sana dada pesa haina rafiki wa kudumu,inaweza kuondoka kwako na kwenda kwa unayemdharau,alafu ukabaki unashangaa tu.
 

Mmmmmmmmmmmmmmmh, urefu upi unaozungumzia?
 
siyo dua la kuku, anamaanisha ufikilie wangapi walikuwa wana pesa na leo hawana na wangapi walikuwa hawana pesa na leo wanazo.
i always side in a safe side
mume sio ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…