Nimepata Msichana wa Kikenya ila

Nimepata Msichana wa Kikenya ila

kukumdogo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2011
Posts
2,871
Reaction score
2,762
Habarizenu wanajamvi? Mimi nimepata msichana wa kikenya sema anaongea kama mwanajeshi. Hivi hawa wanafaa kuingizwa ndani kweli?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Wanaoenda hela sana wasichana Wa Kenya. Wapo kiuchumi tu Na hawana true love. Waganda wapo poa
 
utakiwa unaitwa chali badala ya mume.
 
Habarizenu wanajamvi? Mimi nimepata msichana wa kikenya sema anaongea kama mwanajeshi. Hivi hawa wanafaa kuingizwa ndani kweli?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums


Wanafaa sema tu anakuona wewe ni mjinga ama wewe umezoea kuwa na mademu wa Kitanzania na kuwanyanyasa, kwa wakenya wao wako very serious na mahusiano hivyo jichunge usije katwa dushelele hapa ikawa soo.
 
Dogo, usituzalilishe wanajeshi!
Sema demu wako anaongea kama kahaba! Swain.
 
Dogo huu uwanja co wa mapenzi au hukusoma title? Uktaka mambo hayo hamia uwanja wa mapenz cc wanasiasa mapenz wap na wap??
 
we ndo muamuzi wa mwisho coz unamjua.jinsi alivyo. ila kuwa makini sana.wengi wao wapo.kiuchumi na Good life. Anaweza kukutema na kwenda kwa mtu mwenye uwezo kuliko wewe.Wanapenda sana kuangalia Uchumi wako unaendaje.nshawahi kuwa ns mmoja wao.sahivi kaolewa na mhasibu flan.Alisepa ghafla nikaskia kwa marafiki zakevna fb yake kuwa Married fasta.
 
Kwakweli mimi nimekaa sana Kenya, kuna wanawake wazuri na wana tabia nzuri saaana.... Nadhani huyo umekwaa mkenge ila don't generalize...
 
Ndo mana nataka ushauri maana humu watu ni waelewa na wanaupeo sana

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Habarizenu wanajamvi? Mimi nimepata msichana wa kikenya sema anaongea kama mwanajeshi. Hivi hawa wanafaa kuingizwa ndani kweli? Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Usinikumbushe machungu, mwenyewe niliwahi mpata Mkenya wababe sana alikuwa ananiamlisha kama mwanajeshi nikiwa mitaa ya Sinza yeye yupo Mbagala utasikia ananitwangia njoo haraka mi na hamu ya ngono ukichelewa na gawa kwa wengine.
 
Nazidi kuchanganyikiwa

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom