Mmmhhhhh okay kama umeweza kuendesha mghahawa naamini utaweza kumshauri vizuriTwende Baa tukae mimi na wewe tu buni wazo la biashara!!!!
Nimeplan maeneo ya Manzese au Magomeni ila nina mashaka na usalama wakeNi wazo zuri..location ya biashara ni maeneo gani umeplan?
😀😀😀 bar tutapeleka faida mzee babaTwende Baa tukae mimi na wewe tu buni wazo la biashara!!!!
Shukrani mzee, ila vip kuhusu mchakato wa leseni kwa dar kama unaujua?Ni wazo zuri, litekeleze kww moyo wako wote na nidhamu, utafanikiwa
Kwa hakika mama nimepataTwende Baa tukae mimi na wewe tu buni wazo la biashara!!!!
TIN namba bureShukrani mzee, ila vip kuhusu mchakato wa leseni kwa dar kama unaujua?
Hili nalo wazo zuri, ngoja nifatilie PEPSI kumekaaje nina mtu namfahamuHamna kazi ngumu kama kupanga mipango huku hela unayo mkononi.
Wasiliana na kampuni za vinywaji kisha waombe muongozo wa namna ya kua wakala wao kwa kufungua depot yako mwenyewe.
Nahisi kwa 20M utaanza na simu chache kidogo. Na pia ununuaji wa simu kwa waTz unajulikana ni slow sana.
Naona kama kwa mtaji wa 20M nikiwekeza kidogo investment itakuwa haina ushawishiUsiwekeze pesa zote kwa wakati mmoja kwenye biashara moja,
"Usiweke mayai yote kwenye kapu moja"
ThanksUkumbuke kuregister TCRA
Ni wazo zuri kweli.Hili nalo wazo zuri, ngoja nifatilie PEPSI kumekaaje nina mtu namfahamu
Tatizo linaanzia hapo. Hujui biashara unayotaka kuifanya na unataka ushauri toka kwetu. Hilo ni kosa kubwa. Ushauri wangu ni kwambaHivi karibuni nimepata mtaji wa takribani Mil 20. Nimekuwa nikipanga kuanza biashara ya electronics kama vilivyotajwa hapa chini, changamoto inayoniogopesha ni mamlaka za serikari kuhusu vibali na ushuru na ubora wa wazo lenyewe. Naombeni ushauri nini nizingatie, nini niongeze kwenye list au kipi nibadili
- Simu zenye thamani ndogo
- Earphones/Head phnones
- Phone covers
- Screen protectors
- Wireless speakers
- Batteries
- .......