Nimepata mtaji.!

Nimepata mtaji.!

kinyamkela mahaba

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2022
Posts
1,178
Reaction score
1,596
Hali gani?hakika namshukuru Mungu sana, nimeangaika muda mrefu kutafuta mtaji wa kuanza biashara yangu ambayo nimekuwa nikii dream,naamini si kwa nguvu zangu.

Nimefanikiwa kukusanya kiasi cha shilingi 8000 pesa taslimu toka mwezi wa 1 mwaka huu. Na Jumatatu ijayo naanza biashara yangu, nitatumia miguu kutembeza bidhaa zangu(karanga) kabla ya kununua baiskeli.

Nimejifunza investment kutoka humu JF. Kongore kwenu.
 
Yaani watu hawapo seliasi kwa kweli

Mda wote toka mwezi wa 1 mpaka huu online JF kila siku utamwona alafu aje aseme amepata 8000 haingii hakilini ni ulimbukeni

wapo watakao mtetea ila piga hizo vocha tu fikirie ni jero mara miezi hii ni upumbavu mtupu
Kwani mnafahamiana nae mkuu? mbona umemhukumu sana huyo kijana wa watu
 
Hali gani?hakika namshukuru Mungu sana, nimeangaika muda mrefu kutafuta mtaji wa kuanza biashara yangu ambayo nimekuwa nikii dream,naamini si kwa nguvu zangu.

Nimefanikiwa kukusanya kiasi cha shilingi 8000 pesa taslimu toka mwezi wa 1 mwaka huu. Na Jumatatu ijayo naanza biashara yangu, nitatumia miguu kutembeza bidhaa zangu(karanga) kabla ya kununua baiskeli.

Nimejifunza investment kutoka humu JF. Kongore kwenu.
Hunijui sikujui
Nipe namba DM nikuongeze elfu kumi
 
Back
Top Bottom