Nimepata mtaji.!

kinyamkela mahaba

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2022
Posts
1,178
Reaction score
1,596
Hali gani?hakika namshukuru Mungu sana, nimeangaika muda mrefu kutafuta mtaji wa kuanza biashara yangu ambayo nimekuwa nikii dream,naamini si kwa nguvu zangu.

Nimefanikiwa kukusanya kiasi cha shilingi 8000 pesa taslimu toka mwezi wa 1 mwaka huu. Na Jumatatu ijayo naanza biashara yangu, nitatumia miguu kutembeza bidhaa zangu(karanga) kabla ya kununua baiskeli.

Nimejifunza investment kutoka humu JF. Kongore kwenu.
 
Kwani mnafahamiana nae mkuu? mbona umemhukumu sana huyo kijana wa watu
 
Hunijui sikujui
Nipe namba DM nikuongeze elfu kumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…