Keren_Happuch JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 1,874 Reaction score 935 Jan 29, 2011 #41 Congrats mtu mmoja!!! I am happy for you! Nawaombea Mungu awape hekima na uwezo wa kumlea mtoto katika maadili mema ya kiMungu! bless you.
Congrats mtu mmoja!!! I am happy for you! Nawaombea Mungu awape hekima na uwezo wa kumlea mtoto katika maadili mema ya kiMungu! bless you.
Mamushka JF-Expert Member Joined Feb 17, 2010 Posts 1,595 Reaction score 100 Jan 29, 2011 #42 Amen, inapendeza tunapo mkumbuka mungu wetu kwa mema anayotujalia. Mkuu hongera sana, mungu ambariki mtoto ampe maisha marefu yenye amani siku moja na yeye afurahie watoto wake kama wewe.
Amen, inapendeza tunapo mkumbuka mungu wetu kwa mema anayotujalia. Mkuu hongera sana, mungu ambariki mtoto ampe maisha marefu yenye amani siku moja na yeye afurahie watoto wake kama wewe.
Rose1980 JF-Expert Member Joined May 10, 2010 Posts 5,684 Reaction score 1,305 Jan 29, 2011 #43 hongera asante mungu
LD JF-Expert Member Joined Aug 19, 2010 Posts 3,014 Reaction score 578 Jan 29, 2011 #44 Hongera sana kaka, Mungu amlinde na kumtunza mtoto pamoja na mama yake.