Nimepata partial heart attack leo , nimludie prof Janabi kwanza

Nimepata partial heart attack leo , nimludie prof Janabi kwanza

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
nilikuwa naoga ile maji yamenigusa tu . Nilihisi moyo upo mbio , ni mepata fatigue , nguvu sina , palpitations moja Kali . Chest pain , wenge kubwa sana Aisee nikafunga shower nikapoa kwanza .

Worse nipo late 20s . Sina hata mke wala mtoto

Beer, liquor , kitimtoto , chips kuku Zege , Choma mbuzi , ulojo kacholi .

bye bye , Nipoe kwanza , life style ilikuwa mbovu sana
 
Ngoja nikamwangalie Mama Mchoma MAHINDI km ameshafungua, Pole sana ongezea na mavyakula ya Supermarket unayobugia kwa sana
 
Watu mnaoga kizembe sana mtakuja mfwe mnajimwagia mimaji mingi ya barid gafla mnaupooza mwili kwa fujo, chukuwa maji anza kujimwagia miguuni na sabuni then panda juu kidogo kubuka unajimwagia na viganja adi mwili ukolee maji then utaweza washa shower yako au ujinwagia na kopo
 
nilikuwa naoga ile maji yamenigusa tu . Nilihisi moyo upo mbio , ni mepata fatigue , nguvu sina , palpitations moja Kali . Chest pain , wenge kubwa sana Aisee nikafunga shower nikapoa kwanza .

Worse nipo late 20s . Sina hata mke wala mtoto

Beer, liquor , kitimtoto , chips kuku Zege , Choma mbuzi , ulojo kacholi .

bye bye , Nipoe kwanza , life style ilikuwa mbovu sana
Nenda kacheck hospitali acha kujitia woga usio na msingi, unaweza kukuta ilikuwa short ya umeme imegusa bomba la maji!
 
Asisahzu kubugia na Ma antibiotics ya U.T.I ili figo ziferi kabisa

U.T.I kiboko ya wazinifu
Mishangazi nambari moja kusambaza UTI.
Ukitembea nalo ukimaliza pitia pharmacy halafu mwambie wife unaumwa usije ukaipandikiza UTI nyumbani.
 
Mnaambiwa kila siku muanzie miguuni nyie mnakimbilia kulowanisha fuvu.

Kuna watu wawili nawafahamu hawajawahi kuwa na mtindo wa maisha mbaya kihivyo ila walidondokea bafuni stori ikaishia hapo.
 
Mnaambiwa kila siku muanzie miguuni nyie mnakimbilia kulowanisha fuvu.

Kuna watu wawili nawafahamu hawajawahi kuwa na mtindo wa maisha mbaya kihivyo ila walidondokea bafuni stori ikaishia hapo.
Shower Hose & Showers 🚿

Kuna wale wakina Sisi Bafuni unakuta kuna Showers alafu kuna Ndoo Ina Kopo ndani

Sasa hapo chagua unatumia nini Ila Sisi watoto wa Bata tunajaza Ndoo kisha tunatumia Kopo maji tunaanza kujimwagia miguuni hizo Showers tunawaachia wengine wanaotaka kujimaliza
 
Muhimu Fanya zoezi nyepesi dakika 15 - 30 kila siku, ya muda mrefu tufanye jumamosi ama jumapili
 
Fanya mazoezi Bwana mdogo! Acha uzembe. Mnajisifia vitambi katika umri wa 20s😂
 
Late 20s lakini mwili kama wa mzee ?

Kuna watu wanakula hivyo wana miaka 45 lakini utafikiri 25-30+wanazingatia na zoezi (wanapasha misuli kwa lugha ya mtaani)

Pole sana lakini utaachaje kula kitifire?oh!
 
Back
Top Bottom