Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
Asisahzu kubugia na Ma antibiotics ya U.T.I ili figo ziferi kabisaNgoja nikamwangalie Mama Mchoma MAHINDI km ameshafungua, Pole sana ongezea na mavyakula ya Supermarket unayobugia kwa sana
Nenda kacheck hospitali acha kujitia woga usio na msingi, unaweza kukuta ilikuwa short ya umeme imegusa bomba la maji!nilikuwa naoga ile maji yamenigusa tu . Nilihisi moyo upo mbio , ni mepata fatigue , nguvu sina , palpitations moja Kali . Chest pain , wenge kubwa sana Aisee nikafunga shower nikapoa kwanza .
Worse nipo late 20s . Sina hata mke wala mtoto
Beer, liquor , kitimtoto , chips kuku Zege , Choma mbuzi , ulojo kacholi .
bye bye , Nipoe kwanza , life style ilikuwa mbovu sana
Mishangazi nambari moja kusambaza UTI.Asisahzu kubugia na Ma antibiotics ya U.T.I ili figo ziferi kabisa
U.T.I kiboko ya wazinifu
Shower Hose & Showers 🚿Mnaambiwa kila siku muanzie miguuni nyie mnakimbilia kulowanisha fuvu.
Kuna watu wawili nawafahamu hawajawahi kuwa na mtindo wa maisha mbaya kihivyo ila walidondokea bafuni stori ikaishia hapo.