nimepata post Paris France ya uwalimu vipi niende?

chopp

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
220
Reaction score
41
habar kizazi cha mapenz
jana serikali imetoa post yangu peke yangu na imenipangia Paris na natakiwa kuripot tareh 1 Feb na niende na vyeti vyote sasa nauliza vp kuhusu lugha yakufundishia na vipi kuhusu mshahara watanilipa kwa dollars , pound au euro na kwann litoke jina langu peke Yang afu ndugu zangu mtoswe tulioteseka wote
 

kaka sepa, kuhusu kuchaguliwa peke yako maana yake umebarikiwa kuliko wanaume wote. HATA PEPONI HAWATAENDA WOTE!
 
Kwa uandikaji wa jinsi yako huo ualimu Ufaransa utaumudu?
 
Kuna mume wako yuko kule ameandaliwa kazi kwako! utalipwa kwa dollar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…