Nimepata post ya kufundisha shule ya Mbekenyera sec ipo Lindi-Ruangwa

Mbuzi Mzee

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2015
Posts
348
Reaction score
82
Asanteni wadau wote kwa kuwa pamoja kipindi chote cha kusubiria ajira,kama nilivyoandika hapo juu namshukuru Mungu kupata fursa ya kufundisha shule kongwe ya wilaya ya Ruangwa,naahidi kufundisha kwa moyo wote.
Asanteni
 
Hongera Mkuu. Mbekenyera ni pazuri hasa kwa kujasiria mali. Mungu akutangulie.
 
Asanteni wadau wote kwa kuwa pamoja kipindi chote cha kusubiria ajira,kama nilivyoandika hapo juu namshukuru Mungu kupata fursa ya kufundisha shule kongwe ya wilaya ya Ruangwa,naahidi kufundisha kwa moyo wote.
Asanteni

Huko bana ushindwe wewe tu kulima ufuta!! Nakutamania sana, miaka mitatu tu ya nguvu kazi then utaniambia!!
 
Moyo wa kazi baada ya miaka miwili uje kutoa ushuhuda ni kweli kazi yako unaitendea haki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…