Nimepata rafiki wa kizungu nianze na shida gani kumweleza anisaidie

nimepata rafiki wa kizungu nianze na shida gani kumweleza
Mmeshafikia hatua ya kuwa marafiki au mmeanza kuwasiliana tu ndio unaona ni rafiki? Akiwa rafiki yako, hutakuwa na haja ya kumpa orodha ya umasikini na ujinga wako, kwa kadiri mnavyoshirikishana mambo ya kawaida ya kila siku, atalijua mazingira yako.
 
Mletee mzunguuu!! Jinsia zenu kwanza ww na mdhungu, tupate pa kuanzia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…