Nimepata rafiki wa kizungu nianze na shida gani kumweleza anisaidie

Kwanza hapo ujue kuna kitu anataka kutoka kwako mpe (mara nyingi huwa hawataki pesa) kaa ukijua mzungu hajengi urafiki na mwafrika kifala fala, ukimpa anacho kitaka atakuja kukupa/au kukuacha kitu Cha thamani huta kaa uamini..., Aisee.
 
Kijana mleta mada, una umri gani?

Naisikitikia sana Tanzania, tumekuwa taifa omba-omba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…