Nimepata scholarship, serikali inaweza kunisaidia?

Lameckjr

Senior Member
Joined
Sep 26, 2020
Posts
133
Reaction score
247
Habari zenu wadau,

Jamani leo nimekuja hapa tena kwa wenye ufahamu nimepata scholarship ambayo nalipiwa 50% tu
Masters degree in supply chain management
Westford University

Mimi napaswa kujigharamikia kama usd 6500

Sasa nauliza hivi serikali haiwezi ni nipa sponsorship? Na kama inaweza je utaratibu ni upi?

Je, kama haiwezi unanishaurije?
 
Hao ni wachapaji kama wengine tu! Kwa kozi yako hiyo nusu unayotakiwa kuchangia[emoji765] 6500 kwa vyuo hapa nchini unahitimu na ibaki.
 
Habari zenu wadau,

Jamani leo nimekuja hapa tena kwa wenye ufahamu nimepata scholarship ambayo nalipiwa 50% tu
Masters degree in supply chain management
Westford University

Mimi napaswa kujigharamikia kama usd 6500

Sasa nauliza hivi serikali haiwezi ni nipa sponsorship? Na kama inaweza je utaratibu ni upi?

Je, kama haiwezi unanishaurije?
We jamaa hufai hata kupewa kitambulisho Cha NIDA
 
Ndiyo hicho chuo kipo UAE?

Uwe makini unawezakuta hiyo gharama ya kuongezea ndiyo gharama yenyewe halisi ya kusoma hapo
 
"Mwinajr2
Mimi napaswa kujigharamikia kama usd 6500

Sasa nauliza hivi serikali haiwezi ni nipa sponsorship?

Je, kama haiwezi unanishaurije?

nafikili hiyo ghalama inahusisha kila kitu, incase of accomoda...,fees,foods,and etx ama vp? but kama ikishindikana ,kwann usisome online? i hope hata ghalama zitapungua.
i wish utachambua taarifa sahihi.
 
Mkuu mbona hiyo ndo Ada yenyew. Kwa nini usisome hapa nchini tu mfano; mzumbe ni Tshs 4,700,000. Maana serikali siyo rahisi kukupa scholarship.
 
Back
Top Bottom