Hao ni wachapaji kama wengine tu! Kwa kozi yako hiyo nusu unayotakiwa kuchangia[emoji765] 6500 kwa vyuo hapa nchini unahitimu na ibaki.Habari zenu wadau,
Jamani leo nimekuja hapa tena kwa wenye ufahamu nimepata scholarship ambayo nalipiwa 50% tu
Masters degree in supply chain management
Westford University
Mimi napaswa kujigharamikia kama usd 6500
Sasa nauliza hivi serikali haiwezi ni nipa sponsorship? Na kama inaweza je utaratibu ni upi?
Je, kama haiwezi unanishaurije?
HujitambuiKama hujui unanyamaza tu
Una ukichaa nini?mbona unatukana watu hovyo bila sababu?Boya lingine hili
Tafuta maarifa kwa bidii.Una ukichaa nini?mbona unatukana watu hovyo bila sababu?
HAHAHAAAABoya lingine hili
Kichaa kapewa rungu..
We jamaa hufai hata kupewa kitambulisho Cha NIDAHabari zenu wadau,
Jamani leo nimekuja hapa tena kwa wenye ufahamu nimepata scholarship ambayo nalipiwa 50% tu
Masters degree in supply chain management
Westford University
Mimi napaswa kujigharamikia kama usd 6500
Sasa nauliza hivi serikali haiwezi ni nipa sponsorship? Na kama inaweza je utaratibu ni upi?
Je, kama haiwezi unanishaurije?
Kipo mzee,sema hakifahamiki huku bongo.Hicho chuo hakipo
Hicho chuo kilichopo Sharjah, UAE nacho utaita chuo?Kipo mzee,sema hakifahamiki huku bongo.