Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Mwaka huu ndiyo nimefahamu athari za ugaidi baada ya wadada weusi 3 kuhamia kwenye apartment jirani na kwangu.
Mmoja ni mwendo wa vimini tu ana vimacho fulani hivi, mwingine ana subwoofer kubwaa halafu anavaa miwani, watatu anapenda madera.
Kwakweli wamenitoa kabisa kwenye reli, faida ninayopata kwenye shughuli zangu nagawana nao nusu.
Sina ubavu wa kuwanyima hela. Hili ni shambulio baya zaidi kunipata na sijui nachomokaje.