Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Watu wanabahati zao mujini, hongera uwape na zaidi hasa huyo mwenye SUBMwaka huu ndiyo nimefahamu athari za ugaidi baada ya wadada weusi 3 kuhamia kwenye apartment jirani na kwangu...
Aiseewachakate kadiri unavyoweza, izo K tumeumbiwa sisi ME tuzigegede, pesa kitu gani kwani
SawaWatu wanabahati zao mujini, hongera uwape na zaidi hasa huyo mwenye SUB
Watanifilisi, bandari yenyewe mnanibania.Wewe si ndio Boss la DP World bwana. Huo muda wako sasa wa kuonesha umwamba
Wako wapi?Vijana wa hovyo pro max
Acha wehu huoMwaka huu ndiyo nimefahamu athari za ugaidi baada ya wadada weusi 3 kuhamia kwenye apartment jirani na kwangu.
Mmoja ni mwendo wa vimini tu ana vimacho fulani hivi, mwingine ana subwoofer kubwaa halafu anavaa miwani, watatu anapenda madera.
Kwakweli wamenitoa kabisa kwenye reli, faida ninayopata kwenye shughuli zangu nagawana nao nusu.
Sina ubavu wa kuwanyima hela. Hili ni shambulio baya zaidi kunipata na sijui nachomokaje.
Usipokuwa makini tutqkuchangia rambirambi mkuuMwaka huu ndiyo nimefahamu athari za ugaidi baada ya wadada weusi 3 kuhamia kwenye apartment jirani na kwangu.
Mmoja ni mwendo wa vimini tu ana vimacho fulani hivi, mwingine ana subwoofer kubwaa halafu anavaa miwani, watatu anapenda madera.
Kwakweli wamenitoa kabisa kwenye reli, faida ninayopata kwenye shughuli zangu nagawana nao nusu.
Sina ubavu wa kuwanyima hela. Hili ni shambulio baya zaidi kunipata na sijui nachomokaje.
Vitisho vyanini tena?Usipokuwa makini tutqkuchangia rambirambi mkuu
Nikichakata ntakuwa na muda wa kurudi kweli?Kijana unatakiwa ukija hapa utuelezee jinsi ulivyo zichakata mbususu!!! Za hao majirani tunakupa muda wa wiki hilo zoezi liwelimekamilika
HahahaVitisho vyanini tena?
Mbinguni unaweza kuta sisi ndo tuko siti ya mbele kabisa, wokovu ni zali sio kukesha kwa tapeli mwamposa.Hahaha
Hufi bana
Ukifa hauozi
Ukioza haunuki
Ukinuka ni marashi.
Motoni ndo destination
Kama umeanza !Mwaka huu ndiyo nimefahamu athari za ugaidi baada ya wadada weusi 3 kuhamia kwenye apartment jirani na kwangu.