Nimepata single mother muda wote akipiga simu mada zake ni kuchenyetana tu

Sasa kijana unalalamika kupewa utam wakati sisi wake zetu wanakimbia kabisa maaana wanajua wakichokoza nyuki mziki wanao kutana nao hua kutwa wanashinda wamelala kisa kichapo cha dog ze thifu
 
Huyo ana compensate fursa aliyokosa kwa kukaa single
 
Mtafutie kazi ya kufanya mda mwingine ukiwa idle sana unakua na ny3ng3 mpaka kwenye kucha
 
Hili nalo mkalitizame kwa jicho la tatu! Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Ukoligwe gweee To yeye mtafsirie huyu
 
Mwanangu pepo ilo a.k.a jini angalia lisije likakunyonya damu kuwa makini
 
Hapana isee!

Yaani kakufanya mtumwa wake wa ngono wa hiyari!

Atoe hela huyo kama jambo hilo unalomfanyia lipo nje ya nyege zako, yaani alipie huduma kumstarehesha na starehe inajulikana wazi kuwa ni gharama.
 
Na singo mama wanajua kupenda kinoma ukijaa kwenye 18 zake unaweza kupagawa na mapenzi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hua hawakawii kukupea nusu kipenyo ili kulikoleza penzi, mwisho wa siku unajikuta umeharibu ndoa yako.
 
Naongea kwa experience ya uanamke....HUMFIKISHI KIKELENI.
Kama hauna experience ya usingo mama aliyepata bwana wa kumhudumia vizuri yeye pamoja na mwanae hauwezi kuelewa hali anayopitia huyo mtafutaji, utabaki kulaumu tu nguvu za kiume.
Saikolojia ya kawaida inaniambia mwanamke hua anakosa hamu ya kufanya mara kwa mara na mwanaume ambae anajua kua hamfikishi kileleni.
Huyu single mother inaonyesha wazi anakunwa ipasavyo na huyo jamaa ndio maana anatamani tena na tena.
Hapa kuna mambo mawili, kama sio high libido basi singo mama anaamini kumpea mwanaume mara kwa mara ndio kumkoleza na kumfanya jamaa azidi kuwahudumia vizuri yeye na mwanae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…