Nimepata single mother muda wote akipiga simu mada zake ni kuchenyetana tu

Kamba
 
Sasa huyo ndio mwanamke anatimiza wajibu wake ipasavyo.
Ukishindwana nae nipe mie nataka wanawake wanaojitambua kama huyo
 
Kijn ulimkutan ili mjenga nyumba __?!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hua hawakawii kukupea nusu kipenyo ili kulikoleza penzi, mwisho wa siku unajikuta umeharibu ndoa yako.
Na wanajua kubembeleza kinyama yaan ila kabla hujawaoa
 
Na singo mama wanajua kupenda kinoma ukijaa kwenye 18 zake unaweza kupagawa na mapenzi
tofauti na wengine wana expierience ya kucheza na hisia za mwanaume. Na mwanaume usipokuwa makini unaoa kabisa
You have to be smart
Unuse hiyo mitego mapema
 
Kama hauna experience ya usingo mama aliyepata bwana wa kumhudumia vizuri mtoto hauwezi kuelewa hali anayopitia huyo mtafutaji, utabaki kulaumu tu nguvu za kiume.
Sijakuelewa unamaanisha nini,ila msimamo wangu hi huohuo.....kumridhisha mwanamke sio lazima uwe na nguvu za kiume ndio mnapofeli hapo wanaume mnajuaga ni kutwanga tu
 
Sijakuelewa unamaanisha nini,ila msimamo wangu hi huohuo.....kumridhisha mwanamke sio lazima uwe na nguvu za kiume ndio mnapofeli hapo wanaume mnajuaga ni kutwanga tu
Namaanisha Single Mother akipata mwanaume anae mhudumia vizuri yeye na mtoto wake atafanya bidii kubwa kuhakikisha anamfurahisha na kumridhisha huyo mwanaume(kumkoleza) ili aendelee kuhudumiwa.
Wanawake wengi wanajua kua wanaume hua tunapenda sana ngono, wanadhani kua ukimpa mapenzi mara kwa mara hata hangaika na wanawake wengine, sasa hapo huyo single mother anachomfanyia huyu jamaa yetu ni kumpea ngono to the maximum ili kumteka akili yake kwa kudhani kua ndio anamfurahisha, kumbe kuna watu wengine wanapenda kila kitu kwa kiasi, kikizidi sana inakua kwao sio raha tena bali ni karaha, hii kitu ndio anapitia huyu jamaa yetu.

Swala la kumridhisha mwanamke inajulikana kua sio kuwa na nguvu nyingi za kiume, hata maelezo ya jamaa hajasema wala kuonyesha kua wakifanya mapenzi hua hamridhishi, na saikolojia ya kawaida ninayoijua mimi mwanamke akifanya mapenzi na mwanaume ambae hua hamridhishi hua hata hilo tendo lenyewe kwake hua linakua karaha, yeye atalifanya kwa ajili tu ya kutekeleza wajibu, na pia mwanamke hua hana hamu ya kufanya mapenzi mara kwa mara na mwanaume ambae anajua wazi kua hana uwezo wa kukata kiu yake.
Naamini kabisa huyu jamaa hua anamkuna ipasavyo huyo bibie ndio maana anatamani tena na tena.
 
Waooh!nimekuelewa sana
 
Connection mkuu,pisi nyumbulifu kama hizi tupeane assist
 
Uyo dem namjua...nilipiga mara moja tu nikamkimbia...anafanya na michezo ya masturbation.
Nikaona sio levo zangu uyu.
Kuwa makini nahisi ana ngwengwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…