Nimepata soft loan bila riba

Unazijua kanuni za biashara lakini?
Fikiria yafuatayo:
Anakupa pesa na uwe umerudisha ndani ya kipindi kifupi sana na 15% ya profit!Maana yake ni kwamba amejihakikishia profit ndani ya hicho kipindi kifupi bila risk ( ukiacha risk ya kukuamini wewe).

Ukipiga hesabu utagundua wewe uliyekopeshwa umegeuzwa mradi na huyo mkopeshaji.

Watanzania hebu tuache uvivu wa kufikiri na tuache kutaka vya rahisi - bure ni ghali sana!
 
Wewe utakuwa ni mtu mwenye access na fedha za shirika/serikali kama cashier etc... Na pengine mmekaa na wahusika wakuu (baadhi ya mabosi) mkaja na wazo kama hilo. Mnataka ku-deviate fedha mfanye biashara ya chapchap ili mkipata faida mridishe fedha za wenyewe na faida mbaki nayo. ONYO: u/mnataka kufanya kamari mbaya sana. Ni wengi wamefanya hivyo na wakaishia kujinyonga baada ya kupata hasara ambayo hawakuitegemea. Mara nyingi mission za aina hiyo haziendi kama unavyofikiria....
 

Risk anayochukua ni kubwa sana (thats why I find it hard to believe this is possible) unless kuna collateral kama nyumba au kitu ambacho jamaa anacho anataka akiteke hii ni RISK kubwa sana sababu jamaa anaweza akakimbia au akapoteza pesa zote

Pili 15% ya Profit inaweza ikawa ZERO mfano jamaa akipata hasara au akitengeneza faida ya tshs 100/= basi jamaa atachukua Tshs 15/= kwa mtaji wa 3bn au jamaa akipata hasara jamaa atapata ZERO..., alafu how can he prove ni profit gani imepatikana..? Unless Jamaa ni Mafia anaweza akajikuta ametapeliwa
 
Reactions: LAT
We can try in normal channel and will make sure that all transaction are transparent, in case of delay shall compensate by commercial based interest
 
Usitake kuturusha hakuna kitu cha namna hiyo, wala mtu wa namna hiyo.
 

Wewe nakuaminia hoja yako iko more plausible. Nimejiuliza nani anaweza kutoa Tsh 1B cash within a week afu blah blah blah imekua ngumu kuiamini (labda kutokana na mimi kutokuwa wa kiwango hicho)
 
1.Nimepitia ushuri wote uliotolewa,maoni yangu ni haya:
a)Pesa zinaweza kuwepo au zisiwepo.Halali au si halali.
b)Biashara za kurudisha 3 bil +interest zipo TATIZO:
2. RISK. Kuna risk kila mahali,sipati neno zuri la kiswahili lenye maana ya risk. Unaweza kuingia kwenye biashara yoyote lakini je?
ukizidiwa maarifa?? pesa imeondoka CHA MOTO UTAKIONA. Hata mtoa pesa nae si rahisi asijue pana risk ya hali ya juu.

HITIMISHO: NASIKITIKA KUSEMA KUWA HII NI BIASHARA KICHAA.(3 Bill in 2month. Riba 15%)
 
Reactions: LAT
MASHARTI.

1. He needs between 1 -7 days to disburse the funds (quite odd...)
2. The money should be returned within two months (you need to sell a lo of whatever is worth between 1bn and 10bn in two months!!)
3. He must gain 15% of the profit ( ?????)
4. He is not interested in long term investment (surely two months is short term)
 
mkuu nipe contact zake huyu jamaa maana na shida ya capital sana
 

msumari uliougonga .... duh !!... sirudi tena kwenye hii thread
 
Je, anaweza akakubali kukopesha kwa viwango vidogo? I need several millions now.
 
Umesomeka mkuu
 
hapo pekundu.unataka hadi aandike riba ya 15% no ujue ni riba??
sasa ulikopaje hela bila kujua utafanyia nini??
me na doubt huo uwezo wa huyo jamaa kukopesha!!
Mkuu hiyo siyo riba! na hii hutolewa zaidi na mabenk ya uarabuni, tunaita Islamic Banking wao hawadai riba ila mnagawana faida utakayo pata, kama biashara haina faida basi mkopeshaji hata pata kitu. hii ndo tofauti ya riba na gawiwo la faida utakayopata.
 
Guys, Hill hela tukiichukua na kuiweka Jamii Saccos halafu tukauziana shares je? hatutarudisha na faida ya kitosha?
 
mkopeshaji yuko makini na anajua anachokifanya, sema kinachosumbua hapa ni hiyo biashara harali ya kurejesha hizo fedha na riba yake. wadau wengi wamestushwa na mkopeshaji kutoa muda mfupi. katika uwekezaji wa fedha hicho ndicho kinachotakiwa usiwekeze fedha mahari kwa muda mrefu. wanasema long term investment is a financial suiced.
 

Umenishawishi nikuamini nakubariana na wewe
 
Narudia tena mkopeshaji ana hela za kutosha na ana investment zinazo onekana za zaidi ya 30billion.
Jamani watu wana hard cash wewe kama huna pesa wenzanko wanazo. Well nime negotiate nae mpaka six months kurudisha pesa na amekubali ku release funds.

If you seriously have an idea pls PM me. Kama wewe hujaamua kuwa RICH bana hamia jukwaa la JOKE
 
Reactions: LAT
.............VoiceOfReason...................Big up !

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…