sichangiii tena huu mjadaraNarudia tena mkopeshaji ana hela za kutosha na ana investment zinazo onekana za zaidi ya 30billion.
Jamani watu wana hard cash wewe kama huna pesa wenzanko wanazo. Well nime negotiate nae mpaka six months kurudisha pesa na amekubali ku release funds.
If you seriously have an idea pls PM me. Kama wewe hujaamua kuwa RICH bana hamia jukwaa la JOKE
.............voiceofreason...................big up !
Nina rafiki yangu ame ni connect na mfanyabiashara fulani mkubwa.
Huyu bwana ana hard cash nyingi hivyo anakopesha bila riba toka shs 1billion to 10billion.
MASHARTI.
1. He needs between 1 -7 days to disburse the funds
2. The money should be returned within two months
3. He must gain 15% of the profit
4. He is not interested in long term investment
Msaada.
Kuna biashara gani sasa hivi inayoendelea ambayo unaweza uka inject kama 3b na kurudisha ndani ya hicho kipindi? Importation ya sukari from Brazil could be ideal ila wajanja wameshawahi.
Naomba mwenye mawazo anifahamishe
Hapo kwenye RED,Nimecheka sana...ahahhahaha JF ni noumer.....Hela nnaitaka, lakini kurudisha ndani ya miezi mi2 jamani, khaaa! Una hakika ikipita miezi hiyo mi2 hujarudisha haji na SMG kweli? Manake biashara ya halali ya kurudisha bil 1 ndani ya miezi miwili mmh...
hii deal ni kubwa mno. Inafaa wafanya biashara wakubwa wakubwa ambao kwanza wana uzoefu na biashara kubwa kubwa sio kama sisi walala hoi.