Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Ulienda chuo kufata nini au ndio ulienda kutafuta sup
 
Whether u think u can or U cannot u'r right cha msingi kapige Sup.. Utasapua tu mungu Atakusaidia sababu umejua kosa Lako
 
Asante sana mkuuu 😊
 
Daah huyu ni mimi wiki ijayo nna sup 5 na carry 2..ila naamini nitaziclear.
 
hiyo haina ushauri ,.....mtanashati pita huku🎶🎵
 
Uko mkoa gani nikupe referal kwa Mwanasaikolojia.
 
Chuo sio kwa ajili ya kila mtu

Tafuta kingine cha kufanya
 
Mnashangaa sapu 5?? Ulizeni wanafunzi waliohamishwa toka st jose ile ya wahindi wakapelekwa sua. Sio poa hata kidogo, mtu mmoja sapu 11 wengine mbaka 15....ingawa zilikua za semester tofaut tofaut kwa vile walikua wanasoma masomo kwa muda wa ziada kufidia ambacho hakikua wamefundishwa.....wapo walichomoa na wakamaliza wengine wako vtengo sahiv....wengne ndo kama hvo waliachaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…