Nimepata tsh.1,000,000. Inafaa kwa biashara gani?

Nimepata tsh.1,000,000. Inafaa kwa biashara gani?

shangwe shangwe

Senior Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
108
Reaction score
24
Wadau naomba ushauri,nimefanikiwa kupata kiasi hicho cha pesa hapo juu, je nibiashara gani inayoweza kunizalishia ili niuepuke umaskini?
 
Wadau naomba
ushauri,nimefanikiwa kupata kiasi hicho cha pesa hapo juu, je nibiashara
gani inayoweza kunizalishia ili niuepuke umaskini?

Wadau naomba
ushauri,nimefanikiwa kupata kiasi hicho cha pesa hapo juu, je nibiashara
gani inayoweza kunizalishia ili niuepuke umaskini?

Uko mkoa gani? Unaweza kukopesha kwa riba. Nina dharura nataka kutatua, kwa kuanzia unaweza kunikopesha Mimi nikakukabidhi mali ya thamani tukaandikishana kisha nikakurudishia mil 1.5 baada ya muda tutakao kubaliana. Ukiwa interested, Ni PM
 
fanya biashara ya mazao hasa mpunga, maharagwe, ufuta au alizeti. Lakini wewe upo pande za wapi?
 
fungua bucha la kuuza kitimoto, baada ya miezi 6 utanunua verossa!
 
Back
Top Bottom