Nimepata Tsh 3.5 milioni. Nifanye biashara gani?

Baada ya kuchapika Sana, nimepata TSH 3.5 milioni naomba msaada nifanye biashara gani, ambayo ni simple to manage and daily return isipungue elfu kumi na tano.

Hope nimeeleweka, just starting from scratch [emoji24][emoji24]
Fanya biashara ya kukusanya tairi chakavu.. Kwa kila tani moja baada ya kuondoa gharama zako hutakosa 30,000 iliyosimamia ukucha
 
Nipe location niweke ata moja aisee, hii kitu mpaka leo bado natafuta location
nunua pooltable 2 ziweke seh mbili tofauti hakikisha unapoziweka unapata hesabu ya 10 per day kwahiyo ni 300000 kwa mwez x2 600000 ndani ya miezi 5 utakua usharudisha huo mtaji wako
 
Nunua pooltable 2 ziweke sehemu mbili tofauti hakikisha unapoziweka unapata hesabu ya 10 per day kwahiyo ni 300000 kwa mwez x2 600000 ndani ya miezi 5 utakuwa usharudisha huo mtaji wako
Bei ya pooltable ni kiasi gani mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…