korino
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 1,004
- 666
Habari zenu poleni na majukumu.
Miezi miwili iliyopita nilikwenda hospitali kuonana na Dr. wa wanawake kutokana na tatizo langu la kutopata ujauzito na vile mzunguko wangu haujakaa vizuri alinifanyia kipimo na akasema siwezipata ujauzito coz mayai yangu ni useless! ananipa dawa zakueka mzunguko sawa nitumie kwa mwez mmoja then nikipata period ile siku ya kwanza niende akanipe dawa zakurutubisha mayai ili niweze kupata ujauzito!
Nimemaliza dawa juzi nimepima nimekuta nina ujauzito, kabla hata sijatumia hizo dawa za kurutubisha mayai nina wasiwasi mimba inaweza ikatoka coz Dr.amesema mayai yangu mengi lakini hayana faida na tayari nishaharibu mimba kipindi cha nyuma! ushauri wenu drs.