Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Leo nimepata ujumbe toka TBC ukinijulisha kuwa niangalie kombe la dunia kupitia Airtel Tv kwa kutumia simu yangu!
Airtel ni kampuni ya biashara ya mawasiliano ya simu, je, TBC inapoitangazia biashara kwa kupitia ujumbe mfupi kwenye simu nayo inalipwa? Na TBC imeipataje namba yangu ya simu.