Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Hata mimi wakati wa Sensa nilijiuliza Rais Samia alipataje namba yangu ya simu?Leo nimepata ujumbe toka TBC ukinijulisha kuwa niangalie kombe la dunia kupitia Airtel Tv kwa kutumia simu yangu!
Airtel ni kampuni ya biashara ya mawasiliano ya simu, je, TBC inapoitangazia biashara kwa kupitia ujumbe mfupi kwenye simu nayo inalipwa? Na TBC imeipataje namba yangu ya simu.
Pamaja na hao kila siku napigiwa simu mawakala wakidai nimetumiwa hela kimakosa, nikiwashukuru kwa wema wao wananitukana!Hata mimi wakati wa Sensa nilijiuliza Rais Samia alipataje namba yangu ya simu?
Naona unaandika huku hauna uhakika, labda ondoa neno "au".Serikali Ina hisa kadhaa au Kuna namna flani Airtel na serikali wanamahusiano. Kuna kipindi miundombinu ya Zain/ Celtel na TTCL ilitumika Kwa pamoja.
Naona unaandika huku hauna uhakika, labda ondoa neno "au".
🤣🤣🤣🤣Pamaja na hao kila siku napigiwa simu mawakala wakidai nimetumiwa hela kimakosa, nikiwashukuru kwa wema wao wananitukana!