Nimepata vipele kwenye ulimi baada ya kuzama chumvini kwa mke wangu

Nimepata vipele kwenye ulimi baada ya kuzama chumvini kwa mke wangu

kingkongtz

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2019
Posts
1,058
Reaction score
3,613
Wakuu kwema.? Hope mko salama.

Leo nimetimiza mwaka tangu nimeoa, Mungu ametubariki mtoto mmoja na anaendelea vizuri

Nikiwa mwanaJF nimekutana na nyuzi nyingi zikiongelea suala la kuzama chumvini a.k.a kunyonya papuchi.

Sasa juzi nikaona nitest na mimi kwa mke wangu nilimpa taarifa kuwa leo ntakufanyia surprise ambayo hujawahi fanyiwa na mimi tangu nmekuoa akajibu poa mme wangu nasubiri.

Akili iliwaza nitapata wapi ujasiri wa kunyonya papuchi ukizingatia wengi humu walidai kuna harufu mbaya wengne wakidai huwa wanatapika.

Nikaona nipite kwa mangi nikachukua kvant ya baridi nikajitupia.

Wakati wa mechi sikujua nilizama vipi chumvini (akili ya pombe hii) ila nina uhakika mdomo wangu niliushusha chini ya kitovu cha mwanamke.

Baada ya siku 4 kupita nimekuja kushtuka ulimi wangu una vidonda mbele kama mviringo hivi sijamwambia wife

Kwa aliyewah kupata hili tatizo anifahamishe tiba tafadhali.

NIMEKOMA SIRUDII TENA.

nimeambatanisha picha ya ulimi ulivyo sasa hivi.

IMG_20210626_171448_932.jpg
 
Back
Top Bottom