Leo umefanya ili kumfurahisha sio! Kesho akitaka tena umfurahishe utakataa?
Vipi nae akikufanyia suprise akakupa tiGO ili akufurahishe utaipokea?
Anyway kuna mambo mawili katika swala lako, moja huenda ni maambukizi ya fangas au bakteria wa aina nyingine, ila Kwa uzoefu wangu ni mara chache sana maambukizi ya fangas au bakteria wengine waingiapo mdomoni kuanza kushambulia ulimi moja Kwa moja.
Mara nyingi reactions huanzia katika koo au pembezoni mwa midomo kisha ulimi, japo inawezekana kuanzia pia katika ulimi.
Jambo la pili huenda si maambukizi ni michubuko. Michubuko kwenye ulimi inaweza sababishwa na aina ya K, mav**zi na utulivu wa mlengwa.
Papuch kavu + mavu**z + mlengwa hana utulivu lazima ulimi uchubuke.
Akili za kuambiwa changanya na zako, wahi hospital huenda tatizo ni kubwa kuliko tunavyo fikiri.