Nimepelekwa Ustawi wa Jamii

Nimepelekwa Ustawi wa Jamii

Yohana Kilimba

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
8,105
Reaction score
5,629
Dada mmoja amenishtaki ustawi wa jamii kuwa nilimpa mimba mwezi mmoja kabla ya kuolewa na mume aliye nae sasa

Japo ametoka kwa mumewe muda mrefu bado ansendelea kunizonga na kunisumbua

Alianza kudai matunzo ya mimba na hata kunifikisha kwa mtendaji kata ambako uthibitisho juu ya uhusika wangu kwenye mimba yake

Juzi ameniletea barua ya kwenda ustawi wa jamii kupitia kwa mwjiri wangu ambaye ni D.E.O wa Bukoba

Naomba ushauri wa kisheria na kufahamishwa jinsi hii idara inavyo fanya kazi
 
Ngoja waje wanaojua sheria wakupe ushauri unaofaa
 
Back
Top Bottom