Dada mmoja amenishtaki ustawi wa jamii kuwa nilimpa mimba mwezi mmoja kabla ya kuolewa na mume aliye nae sasa
Japo ametoka kwa mumewe muda mrefu bado ansendelea kunizonga na kunisumbua
Alianza kudai matunzo ya mimba na hata kunifikisha kwa mtendaji kata ambako uthibitisho juu ya uhusika wangu kwenye mimba yake
Juzi ameniletea barua ya kwenda ustawi wa jamii kupitia kwa mwjiri wangu ambaye ni D.E.O wa Bukoba
Naomba ushauri wa kisheria na kufahamishwa jinsi hii idara inavyo fanya kazi