Ukiwa na channel yako youtube unaweza kufanya cstomisation ya ya profile yake.
Mfano TBC au ITV wangekuwa wakoserius wangekuwa na channl zao amabzo wangekuwa wanaweka taarifa na clip muhimu. . hata kama zisingekuwa na customised profile kama hii but ndio maana halisi ya chombo cha habari cha televison.