Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Unampa asilimia ngapi Mayele kwa hili jibu murua na la kutukuka kutoka kwa mwamba Fiston Kalala Mayele kwa huyu shabiki mwenye kiherehere?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utani tu huo?Nimemchukia Mayele!
🤣🤣kibabe sanaHahahah jibu la kikatili sana 😂😂😂
mayele aagize pepsi baridiiiUnampa asilimia ngapi Mayele kwa hili jibu murua na la kutukuka kutoka kwa mwamba Fiston Kalala Mayele kwa huyu shabiki mwenye kiherehere?
View attachment 2939142
Na alijua kuwa muuliza swali hilo, ni wa UTOPOLONI kama wewe!Nimemchukia Mayele!
Kumbe ameacha kucheza?Duh mayele amefikia Hali ya kucheza Kwenye mitandao na kuacha kucheza uwanjani ?