Nimependa hoja ya mkenya huyu!

Nimependa hoja ya mkenya huyu!

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
TOP 10 RICHEST families in KENYA

1. Moi Family

2. Biwott Family

3. Kenyatta family

4. Kulei Family

5. Odinga Family

6. Philip Ndegwa family

7. Simeon Nyachae Family

8. Manu Chandari Family

9. S. K Macharia Family

10. Kibaki Family

#Did you see my family or yourfamily anywhere on the list! ? I don't think so! Alafu wewe ndo utakua umebeba ile panga kubwa
kabisa after 4th March unataka kunichinja na tuko class moja!

Mimi sina place ingine naweza torokea ,so pliz, let us remain peaceful after elections, Raila odinga ama Uhuru Kenyatta hakujui wala
hanijui, yy atakua ame-relax kwake!!

# peace #
 
TOP 10 RICHEST families
in KENYA
1. Moi Family
2. Biwott Family
3. Kenyatta family
... 4. Kulei Family
5. Odinga Family
6. Philip Ndegwa family
7. Simeon Nyachae Family
8. Manu Chandari Family
9. S. K Macharia Family
10. Kibaki Family
#Did you see my family or your
family anywhere on the list! ? I
don't think so! Alafu wewe ndo
utakua umebeba ile panga kubwa
kabisa after 4th March unataka
kunichinja na tuko class moja!
Mimi sina place ingine naweza
torokea
,so pliz, let us remain
peaceful after elections, Raila
odinga
ama Uhuru Kenyatta hakujui wala
hanijui, yy atakua ame-relax
kwake!!
# peace #

Hiyo red bolded inasikitisha sana! ni kauli nzito mno! hata sisi huku inabidi tuiapply kwenye siasa zetu!
 
Ameileta huku ili nasi tuitafakari tuone hoja ya msingi. Namuunga mkono
Kuna majukwaa husika ya Wakenya. Kama unataka kutafakari hoja za "msingi" za Wakenya nakushauri upitie huko kwenye majukwaa husika. Watanzania tuna yetu mengi tu yanatushinda kutafakari na kupatia ufumbuzi. Siungi mkono hoja ya Mh. Ndelejha.
 
Back
Top Bottom