Nimependwa na askari jeshi wa kike!

Chunguza kama bolti zake ziko fit chukua jumla, maana jeshini walegezaji bolti ni wengi kutegemea na cheo alichonacho huyo mpenzio.

Kama umempenda kweli kweli na yeye same basi fanya hima,futa kurasa zake za nyuma na wewe zako futa muanze upya!!!kumbuka kambini wanasema yeye ndio ameoa...sio ameolewa maana kule hakuna cha jinsia ya kike wote kule wanaoa!!
 
Mwenzenu askari jeshi wa kike amenipenda na anataka nimuoe.
Nifanyeje?
Ushauri wenu tafadhali.
Muowe tu baba, afu hakikisha unatumia silaha yako vizuri, ili akiwa anamka asubuhi anakupigia salute kama umempatia vizuri usiku wakuamkia asubuhi hio.
 
huwa ni watu wazuri sana,
nakumbuka enzi za ujana wangu
niliwahi mwibia askari mmoja mwanaume kule tabora,
alikuwa bonge la mdada, but she was so cool.
 
Askari jeshi si ni mwanamke kama wengine ..we kama umempenda oa tu
 
''...mke wangu mwanajeshi, jaman nafua nguo...'' tehe tehe tehe tehe.
 
Mkuu zali hilo, hapo ukimlala waifu ni sawa na kuilala serikali nzima
N:B, sheria inasema askari ni serikali.
 
Askari jeshi si ni mwanamke kama wengine ..we kama umempenda oa tu

Yaah: cha maana ni mwanamke.
Hata wa mitaani anaweza akaliwa tu na watu wengine.
Ila mkuu kaa tayari, siku ukimkorofisha, ujue umelala ndani!:A S 13:
 
Ni mwanamke sawa....tena huyu ni mzuri ajabu. Tatizo kuna mambo mengi sana yanazungumzwa kuhusu hawa watu, kuanzia huko depo hadi kempu.
sasa ndo najiuliza.

Kumbe unajua eeh!! sasa imagine wewe sio askari... unadhani akiamrishwa na jamaa kama yule Top Manyota mwenye hela South Africa itakuwaje?? shauri yako..... unaelekea kufa kwa pressure wewe!!!
 
Kwani shida ipo wapi ndugu yangu?kama na ww unampenda its okey hakuna kulemba
 
Kwani akifanya kazi za uaskari ndo anasitisha kuwa mwanamke?
 
listen to your heat, then decide. usichanganywe na maneno ya mtaani. usiogope ni wanawake wa kawaida tu.
 
chuja kwa makini hizi comment,kuna sumu nyingi humu zinaweza kusambaratisha hilo penzi lako na mjedawako!
 
chuja kwa makini hizi comment,kuna sumu nyingi humu zinaweza kusambaratisha hilo penzi lako na mjedawako!
Nitajuaje ipi ni mbaya na ipi ni nzuri kwa sababu ile ninayoweza kudhani ni mbaya mara nyingi huongelea mazuri na ile ninayoweza kudhani ni nzuri mara nyingi huongelea mabaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…