Mnyamwezi wa Urambo
JF-Expert Member
- Dec 7, 2011
- 928
- 275
nikiwa na wivu inakuwaje?cha muhimu usiwe na wivu
kwa hiyo tayari kuna walakini hapo. ya nini kuishi kwa wasiwasi namna hiyo?Mie nikushauri kitu kimoja,la msingi zaidi nendeni mkapime UKIMWI then huku mkiendelea na uhusiano wenu jiwekeeni ratiba ya kucheki afya mara kwa mara,mambo mengine hua niya kawaida
umeona eh! huyu jamaa mwisho wa siku atakuwa yeye ndiye askari mwenyeweNazidi kuunganisha doti kati ya malalamiko yako ya kuibiwa cheti na askari polisi na hili la wewe kumpenda askari wa kike,ITAFAHAMIKA.
hivi wanachakachulika hao watu kweli.Kama hutaki kupendwa na mjeda subiri utapendwa na sister wa kanisani
kuna mengi yanasemwa kuhus hawa watu hasa huko depo na kambini kwao.Ana tofauti gani na wanawake wengine hadi ushangae ? Mbona ulimtongoza wewe, maana sio yeye aliyekuanza, ila sasa baada ya kumchezea unakuja kuuliza swali. Acha utoto, kama unaona anendana na sifa unazohitaji chukua hicho kifaa weka ndani, anza maisha.
Mwenzenu askari jeshi wa kike amenipenda na anataka nimuoe.
Nifanyeje?
Ushauri wenu tafadhali.
Kwani mwanajeshi ana kasoro gani?? Kama umempenda wewe oa tu..
haya yameandikwa na mjinga.Muue au jiue wewe
(Swali la kijinga kabisa)
na hapa mjinga kaandika tena.Lakini yeye hakusema kama ana kasoro. Amewauliza tu nyinyi mnaomuamulia mambo yake, afanyeje?
en vino veritas....umeshautwika nini?Tangaza ndoa. Sema 'ndio afande!'
hawezi kuendeleza makoloni yake kweli?kama umempenda kwel na una wasiwas na kazi yake mwachishe kazi. Lasvyo utapunguza sku za kuishi kwa presha,