Nimependwa na mwanamke mtu mzima, naomba ushauri

Mkuu unataka ushauri mpaka kwenye vitu vidogo kama hivi?
Hebu kua na msimamo.

Je siku akiwa hana pesa utaendelea kumpenda?
Unamtaka yeye ama unataka pesa zake?
 
Mkuu unataka ushauri mpaka kwenye vitu vidogo kama hivi?
Hebu kua na msimamo.

Je siku akiwa hana pesa utaendelea kumpenda?
Unamtaka yeye ama unataka pesa zake?
Kwa sasa sihitaji pesa zake maana tangu nioe hajanipa chochote, ila anasumbua kwamba nilimpotezea wakati alijua mimi ndie nitakuwa mume wake
 
Huku nako ni chenga sanaa, mwisho wa siku utakuja kuomba ushauri ata wakati wa Kula tendo ..... 😀😀😀 Kula tu mzee mbaba
 
Ukitaka kufanya jambo mpaka unajiuliza mara mbili mbili sio sawa kabisa. Sikiliza shauri ya ndani ya moyo wako acha kujipoteza.
 
Broh sasa mtu kakuzidi miaka 7 wa nini? [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]mimi kuna mtu kanizidi miaka 3 tu naona siwezi
 
Taasisi ya ndoa inazidi kuoza.

Jitahidi kutulia na mkeo
 
Oa tu! Namna pekee ya kupunguza shida za hawa wanawake ni kuwaoa kuanzia wawili na kuendela
 
Hawezi kuishi bila wewe?

Kabla hamjakutana alikuwa anaishije?

"Big scam".
 
Unapendwa unapenda pia kisa pesa na wazazi wako unawaonesha bado wanakushauri uoe unakuja kutuuliza sisi.

Yaani vipesa tu ukajiachia hadi wazazi wakajua.... Kizazi hiki mazee

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Jambo ambalo unatakiwa ujadili naye kwa uwazi ni matunzo. Mkubaliane mapema ila hapo umepata dodo. Chakata ngozi kijana. Duniani tunaishi mara moja.
 
Kama n Muslim oa mke wa pili, roho yake itulie mpe na zawadi ya watoto
 
Me naona utulie tu na ndoa yako.... Kweny maisha kila kuumizwa kupo mwambie atafute mtu mwingine aolewe kwani we ujawai kuachwa na alokuacha akaenda kuolewa kwingine....... Yani kila mtu kuna sehem lazima atapitishwa kwa hyo yeye kapitishwa kweny maumivu na ww kweny heri
 
Ukitaka kumuowa muowe tu kwa sababu mnapendana ila usifanye siri kwa mkeo wa kwanza....HAKUNA SIRI katika ndoa mkuu.

Lakini pia kuwa muangalifu maana wewe na yeye mnaweza kushirikiana kumfukuza mke mkubwa [ nasema hivi kwa kuwa naona hata wewe umemuowa mkeo kwa shinikizo la wazazi lakini mapenzi yapo kwa huyo bibie anaekulea]

Maana ya kutomficha mke mkubwa ni ili ajiandae ukifika mda wa kuondoka au kukabiliana na chengamoto mtakazompa mkishaoana.
Usifanye SIRI.
 
Yaani namba B inakua mke mdogo.. [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…