Nimepewa mechi nikashindwa kusimamisha

Inatokeaga hiyo! Kaa tuliza wenge ngoma itarejea kawaida. Huyo mtu inaonekana ulikamia sana ndo maana. Alafu romance 40 mins ili iweje kijana?
S wanagaliaga kwenye move hv unatafuta nn haya kuchamba kwingi wat mwengn stick on issue concerned
 
Siku nyingine usifanye huo ujinga wa dk 40 kwa demu mpya. Demu mpya kikubwa unachotakiwa kufanya ni kuzindua dimba, hizo mbwembwe nyingine utakuja kufanya huko mbeleni.

Sasa sijui kama huyu demu atarudi tena huenda ndio umeshamkosa mazima.
 
Watu wengi hawajui / kufahamu ya kuwa upo ulinzi wa malaika wema (fumbo hili lifumbue mwenyewe)
 
Muhuni wangu kacheza gemu kabla ya gemu bhana hajui kuwa gemu za mchangani fikra inachukua nafasi kubwa sana..
Kaja na fair play ya FIFA harafu anakuja kulalamika.
Yaani mwamba ajui kwamba kusimamisha uume kunategemea zaidi fikra sasa unafanya romance dakika 40 mpaka akili inachoka๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
40 dakika unamchezea afu utegemee iendelee kusimama vizuri๐Ÿ˜
Ubingwa unaupoteza kwa sifa yakupga pass
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ khaaaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ