Nimepewa mechi nikashindwa kusimamisha

Dk 40, mkuu?? Unaandaa nini? Wengine ulimi ukipita shingoni tu basi kazi imeisha.
 
next time usikaririshwe mapenzi ya wazungu mnara ukisoma chomeka hayo mengine fanya wakati wa refractory period. Unapotafuta second goal lakini hata ligigoma la 2 sio aibu kubwa kama kokosa hata moja
 
Dah mwanetu umetuangusha sana unafungwa game ya nyumbani huyo harud tena hapo
 
Bila shaka huyo Binti alikuendea Kwa sangoma kabla ya kufanya uamzi wa kuja kwako.
 
Na kwanini isiwe kinyume chake?? Kwamba demu kanusurika kumwagiwa mimanii yenye migono, makaswende etc??
Wanaume lazima tupeane tips, mojawapo kuepuka magonjwa kwa kukimbia zinaa. Demu anaweza kuishi na magonjwa hayo kwa muda mrefu bila kuonyesha dalili ila sisi ni 24 hrs tu unaanza kuona mabadiliko kwenye miili yetu.
 
hofu ni mbaya sana juzi nipo na manzi ile kuanza kumpapasa mara mapigo ya moyo hayo mbio aisee nikajikuta wazungu hao alivyoondoka ile kuanza kuchart mnanra unarud hewani na hapo ni ndani ya dakika ka 10 ivi tu tangu demu aondoke aisee hofu mbaya sana
 
Hofu ya nini kijana? inaonekana kei kwako ni kitu hadimu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…