Nimepewa mechi nikashindwa kusimamisha

Tatizo lilianza apo hujawai kulala nae usku kaja umemuacha kalala kisa kachoka sana ivo viumbe havijawai kuchoka.
 
Wanaume tumebakia wachache!! Akuna namna ww kua ni upinde live.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Iyo inatokeaga mara moja moja kwa sisi above 40 ila tuliza wenge na akili unarud kuwa normal tu.
Ila kama ni kijana 20s asee umeanza mapema sana
 
Ukiona nini? Siku hizi kuimamisha ni dili
 
Polee mkuu hii iliwahi nikuta kwa dada kwa manzi wangu inakata kinoma inaondoa kujiamini!! Alafu sasa manzi wangu mtu wakupaniki akaruka na mimi kwaiyo umetoka kwa ex wako ndo unajia hivi yani ndo akaharibu kabisaaa😂😂 ila badqe ilikuwa fresh tu relax punguza mawazo relax alafu dakika40 unatafuta boss?
 
Siungeuza tu mechi?alaaa!
 
Ungekuwa kwenye ndoa ningekushauri, ila kumshauri mzinifu ni kujiongezea akiba ya madhambi, miaka 27 ni umri sahihi wakuwa kwenye ndoa
 
Piga zoezi haswa, mwili na kegel, kula korosho na maziwa fresh, baada ya week Moja tuu mwite, upumzike pia, uache stress, kunywa maji kabla ya sex,

Pole sana, hili swala linaanza kuonekana la kawaida!!
Jana nilinunua korosho, umenifanya nizitafute asubuhi hii, nitafune kidogo kabla sijaendelea na mambo mengine.
 
Mkuu, siku nyingine aje ameshajiandaa ili akifika tu ni mizagamuo. Unatumia mda mrefu kwenye warm up na mechi ikianza umeshakata pumzi maana unapoenda utaanza kusema kuna mtu amekuloga
 
Ungekuwa kwenye ndoa ningekushauri, ila kumshauri mzinifu ni kujiongezea akiba ya madhambi, miaka 27 ni umri sahihi wakuwa kwenye ndoa
Kwa faida ya wengi , share knowledge
 
Dakika 40 ni deni la taifa unalipa au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…