Wana Jf kuna jirani yangu hapa
Mtaa wa maweni ni bomba sana,
midume karibu yote ina mmezea mate,na ni msomi ametoka chuo karibuni,
Asubuhi leo wakati naenda grocery nikakutana nae akanisalimia halafu
akaniambia chukua namba yangu, mpaka sasa hivi nina maswali kibao
Siamini kupewa namba na ninaomba
ushauri wenu hivi kupewa namba ya simu ni ishara ya nini?
Boflo wewe ni mwanamke bwana,hizi thread za hivi unatuwekea kutupotosha malengo tu tusikujue,...tushakustukia.
swadakta umemaliza kila kituKaka,
Mwanamke akikupa namba ya simu sio kwamba anakutaka, na wala usitengeneze mawazo hayo kichwani
Mheshimu kama dada yako tu, unless akueleze anakutaka.
Lakin ujue kuwa unaweza ukawa na uhusiano na mwanamke bila ngono wala mapenzi
Sawa Mkuu?
Nipigie nipigie he huu wimbo aliimba nani tena
acha mawazo ya kijinga wewe..nyie ndiye mnaodhani kuwa demu akikuchekea tu basi anakutaka!
Wana Jf kuna jirani yangu hapa
Mtaa wa maweni ni bomba sana,
midume karibu yote ina mmezea mate,na ni msomi ametoka chuo karibuni,
Asubuhi leo wakati naenda grocery nikakutana nae akanisalimia halafu
akaniambia chukua namba yangu, mpaka sasa hivi nina maswali kibao
Siamini kupewa namba na ninaomba
ushauri wenu hivi kupewa namba ya simu ni ishara ya nini?
Sijasema nimechekewa nimesema nimepewa acha kuwa JEALOUS
Kenge wewe!!!!
Ok... Huyu demu ni jiran..na haya maeneo ninayokaa ni upanga huku majirani hawasalimiani.... Sasa huyu demu alikuwa chuo miaka 3 toka amerudi ana kama mwezi 1... Ndio maanaBoflo?
Huyo aliye kupa number ni kichaa! huwezi kukutana na m2 tu akakuambia chukua Number!!
Pili kama umemuomba No. lazima kuna sababu ulimpa au kuna gear ulitunia kuipata hiyo Number. hebu tuambie kwanza ilikuaje mpka akakupa hiyo Number ndio tutoe majibu yetu. Vinginevyo tutakua tunajadili pumba
Nimekupata mkuuBolfo Mkuu punguza hasira, msamehe mwenzio.
Jamani naomba tuwe wastaarabu jamani, hata kama unamjibu mtu jaribu ku-revise unavyomjibu mwenzako ili asikwazike. Pia Tuwe tunavumiliana hata mtu akikujibu vibaya mwambie awe anatumia lugha nzuri au vipi mpotezee.
Tuwe na amani jamani