Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,895
- 4,478
HajalipwaWeww wewe ulie piga peku sana una tofauti gani na hao malaya?
Valentine na hekaheka zake
Peku peku...Valentine na hekaheka zake
Waambie dada zako waache umalayaKwahiyo?
Wewe inakusaidia nini mpaka kuja kwenye post za wanaume? Si ubaki huko kwa wanawake wenzio ukikata viunosometimes unaweza kua mgonjwa na usijijue, sasa hii inakusaidia nn katika maisha
Kwanza Njombe na Iringa unazingua? Upo kwa mumeo huko unaleta ushoga kwenye page za wanaume hapaKwa upande wangu hiv/aids ni scenario tu,
Iringa na Njombe wana miamko sana ya upimaji,, ndio sababu ya namba za walioathirika ni kubwa sana huko,, tofauti na Mwanza na Geita huku mtu kupima afya ni hadi augue,, kama ulikuja kanda ya ziwa ukapiga peku,, itabaki kwako kuwa uko salama,, sasa nenda Njombe huko kapige peku halafu uje hapa kutupa mrejesho,,
Nakua mumeoMalaya wengi wanatoka sehemu za mbali kuja kuuza Utamu huko.
Hvi ukilala na Malaya, wewe unakua nani?